analiya disiwe mume wake ajali haina kinga wala kafara
anaenda kijana maladi inamushinda ana aca bibi na mutoto mudogo mwanaume analala kimya like an angel
mbele ya kufunga maco alimwambiya: "bibi yangu unisamehe ju sina mali ya kukuaciya mungu akulinde like an angel"
mawa ju kijana ule anaenda huruma mawa oh ! maliyo !
sheria ya mungu mama hayijulikane ajali haina kinga wala kafara : "kwaheli mpenzi wangu wende salama lala...like an angel like an angel"
Compositor: Jeanine Rema (Khadja Nin) (SABAM)Editores: Bike Music (BMI), Illegal Music Ltd (PRS)ECAD verificado obra #24564534 em 13/Abr/2024 com dados da UBEM