Kama haumujuwe Kama hujamuona Ni yeye M'barik Fall Amekwenda peke yake Mutoto akafika ulaya Njo yeye M'barik fall Ni sekele ni sekele ya ye
Ukapigana ukawina Baba yo moko bwana M'barik Fall Battling Siki Ukapigana ukawina Baba yo moko bwana M'barik Fall
Wakaku ita ugombane Ukamupiga muzungu Bila dawa M'barik Fall Ahiyama ahiyele maye o Ni sekele ni sekele ya ye
Compositores: Jeanine Rema (Khadja Nin) (SABAM), Nicolas Fiszman (Raoul Petite 1) (SABAM)Editor: BMG Universal Music Publ Nv (SABAM)ECAD verificado obra #124668 em 13/Abr/2024 com dados da UBEM