Nimechoka kumeza mate, wenzangu wakila nyama Nachotamani anipakate Awe mitchele niwe obama Siku hizi nimewa chizi Kila muda nafikiria Kile mi nitampatia aingie kwa box Anajifanya busy Hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo
Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie Ntaacha dawa na pombe ili afurahie Ntaenda sunday kanisa Sadaka nimlipie Nitajifanya sofa aje anikalie
(Aeaeaeaah) mwambie sitaki mwingine (Aeaeaeaah) ni yeye tuu (Aeaeaeaah) nitampa chochote pengine (Aeaeaeaah) hata nimpeleke majuu
Natamani niwe yake simu, anifinye kila saa Awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir Huwa nahisi wivu, rafiki wakimkumbatia wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli Na nina maumivu, natamani kumuambia ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli